Karibu

Utangulizi
+

Karibu SportPesa, jukwaa namba moja la kubet Afrika! SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda.Tunatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa.

Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga *150*87#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara.

Cheza kwenye Jackpot kwa TZS 2000 tu. Sasa, TZS 2000 ni DONGE NONO kwani unaweza kushinda angalau TZS 200,000,000 unapocheza kwenye Jackpot.

Kujisajili kwa njia ya SMS

Kwanini nijisajili na SportPesa?
+

Kujisajili kunakuruhusu kufungua akaunti na Sportpesa bila ya malipo wala wajibu. Akaunti yako ya SportPesa itasaidia kusimamia bet zako na maelezo mengine ya akaunti. Unahitaji kuweka fedha halisi katika akaunti yako kabla ya kuweka bet.

Jisajili sasa!

Namna gani naweza kujisajili na SportPesa?
+

Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi:

Hatua ya 1

Kujisajili kwa njia ya sms tuma "Mchezo" kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa.

Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma "KUBALI" kwenda 15888 kukamilisha usajli.

Hatua 2

Baada ya kutuma "Kubali" kwenda 15888, utapokea ujumbe wa uthibitisho utakaokupa jina la mtumiaji, ambayo ni namba yako ya simu, namba ya siri yenye tarakimu 4 na namba ya Pay bill.

Mfano

  • SMS ya Kwanza: KARIBU SPORTPESA. Jina la mtumiaji ni XXXXXXXX. Namba yako ya siri ni YYYY. Pata MICHEZO MAARUFU kwenye www.sportpesa.co.tz au andika MPIRA WA MIGUU kwenda 15888. SMS inagharibu 2/-
  • SMS ya pili: Tabiri na ushinde kwa hatua 2 rahisi. WEKA PESA kupitia Paybill 150888, Andika utabiri wako (GameID#Chaguo lako#Kiasi cha kubet) kwenda 15888. SMS inagharimu 2 TZS. Msaada saa 24:Piga 0764115588 / 0685115588 / 0692115588 / 0677_115588

Kuweka pesa

Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa kupitia mitandao ya Vodacom, Airtel, Halopesa au Tigo:
+

Ukishamaliza kujisajili, kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa ni rahisi, fuata hatua zifuatazo:

Hatua ya kwanza

Fungua menu kwenye simu yako kisha tuma pesa kwa kutumia namba ya biashara iliyotumwa kwako wakati wa kujisajili.

  • Vodacom M-Pesa: 150888
  • Airtel Money: 150888
  • Tigo Pesa: 150888
  • Halopesa: 150888

Hatua ya pili

Akaunti yako ya SportPesa itaongezewa pesa moja kwa moja. Kisha utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka SportPesa kwa muamala huo

Mf. TZS 2000 imepokelewa! Salio kwenye akaunti yako ya S-PESA ni: TZS 2000.

Hatua ya tatu

Sasa upo tayari kucheza. Anza sasa!

Tazama link hapo chini kupata taarifa zaidi kuhusu makato ya kuhamisha pesa kwa mitandao ya Vodacom, Airtel, Tigo na Halotel.

Bet kwa njia ya SMS

Namna gani naweza Kuweka bet?
+

Sasa una nafasi ya kutabiri matokeo ya mechi yoyote inayopatikana kwenye jukwaa la SportPesa. Unaweza kuchagua chaguo lolote la kubet kutoka kwenye uwanja mkubwa wa masoko yaliyopo kwenye michezo mbalimbali na kutuma bet yako kwenda 15888.

Namna gani ya kuweka Bet Moja?
+

Fuata hatua hapo chini ili kuweka bet moja kwa njia ya sms

Hatua ya 1

SMS kwenda 15888 Game ID ambayo unataka kuwekea bet, utabiri wako na kiasi unachotaka kubet.

Mfano: 8692#2#2000 – ambapo "8692" ni Game ID, "2" ni utabiri wako kwa timu ya Ugenini kushinda, na "2000" ni kiasi cha kubet

Hatua ya 2

Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka 15888 kuonyesha namba ya Bet, kiasi cha kushinda na salio la akaunti yako ya SportPesa. Kiasi unachoweza kushinda kinahesabiwa kwa kuzidisha jumla ya Odds zako kwa kiasi cha kubet. (Mfn..2.36 * 100 = TZS 2360)

Mfano. Uliweka Bet namba 6934 ya Crystal Palace vs FC West Ham, 2. Kiasi: TZS 2000. KIASI UNACHOWEZA KUSHINDA TZS 2360. Salio la S-PESA: TZS 38093.

Hatua ya 3

Umeweka bet yako na unachohitaji kufanya sasa ni kukaa pembeni na kufurahia mchezo uliowekea bet yako.

Namna gani naweza kuweka Multi Bet?
+

Fuata hatua hapo chini ili kuweka Multi Bet kwa njia ya sms

Hatua ya 1

Tuma Game ID uliyochagua kwa njia ya SMS kwenda 15888, utabiri wako kwa ajili ya michezo hii, na kiasi unachotaka kubet. (Kumbuka kwamba Multi bet ina kiwango cha chini cha michezo miwili na kiwango cha juu cha michezo 20).

Mfn. 1234 # 2 # 4534 # 1 # 7180 # X # 1350 ambapo 1,234 ni Game ID ya kwanza, 2 ni utabiri, 4534 ni Game ID ya pili, 1 ni utabiri, 7180 ni Game ID ya tatu na X ni utabiri. TZS 1350 ni kiasi cha bet kwa Multi bet.

Hatua ya 2

Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka 15888 kuonyesha namba ya Multi Bet, kiasi cha kushinda na salio la akaunti yako ya SportPesa. Kiasi cha kushinda kinahesabiwa kwa kuzidisha jumla ya Odds zako kwa kiasi cha kubet. (E.g.2.36 * 1.22 * 3.12 * 2000 = TZS 8980)

Mfn: Umeweka namba Multi bet 6955, Kiasi TZS 2000. Kiasi cha KUSHINDA: TZS 8980 Salio lako la S-PESA ni: TZS37958

Hatua ya 3

Bet yako imefanikiwa kuwekwa, unachotakiwa kufanya ni kukaa na kufurahia mchezo!

Kumbuka:

Ili kufuta bet, tuma neno "FUTA" ikifuatiwa na "#" na utapokea Bet namba ambayo ni tarakimu ya namba 4 katika ujumbe wa kuthibitisha, kwenda 15888. Kumbuka kwamba unaweza tu kufuta bet ndani ya dakika 10 baada ya kuiweka na kabla mchezo wowote wa bet yako kuanza.

Mfano: FUTA#2345 (ambapo 2345 ni Bet namba)

Namna gani naweza kuweka Bet ya Jackpot?
+

Hatua ya 1

Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki

Zawadi ya fedha kwa Jackpot huanzia TZS 200,000,000 na kiwango huendelea kuongezeka kila wiki endapo hatujapata mshindi.

Kuweka bet kwenye Jackpot, tuma SMS kwenda 15888 "JP" ikifuatiwa na '#' kisha tabiri 13 za michezo ya Jackpot iliyochaguliwa awali.

e.g. JP#12121XX1212X1

Kumbuka: Hulazimiki kuweka dau kwasababu kiasi cha Jackpot ni TZS 2000.

Hatua ya 2

Utapokea ujumbe wa kuthibitisha kutoka 15888 ukionyesha Bet namba ya Jackpot, tabiri zote 13 ulizofanya, kiasi na salio la akaunti yako ya SportPesa.

Kumbuka: Unashinda endapo tabiri zako zote 13 zitalingana na matokeo ya michezo

Jackpot hugawanywa sawa sawa kwa washindi wote.

Bonasi zinatolewa kwa tabiri sahihi 10, 11 na 12

Unaweza kuweka bet nyingi kwenye Jackpot kadri utakavyo na kila bet itagharimu TZS 2000

Hatua ya 3

Bet za mchanganyiko mara mbili hufanya urahisi kuweka bet nyingi wakati mmoja badala ya kurudia mlolongo ule ule mara nyingi endapo utataka kuweka bet za Jackpot (JP) zaidi ya moja kwa njia ya sms.

Hii inakuruhusu kuweka bet yenye tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, kwa mpaka michezo 7 iliyopo kwenye orodha ya michezo 13 ya Jackpot katika bet moja!

Kwa mfano: kama unataka kuweka tabiri 2 kwenye michezo 3 ya JP, utakuwa umeweka bet 8 kwa ujumla, yani 2^3 (2*2*2 = bet 8 za JP)

Mfano JP#1X#X#2#12#2#X#X#X#X#1#1#2X#1

Katika mfano hapo juu, tabiri 2 zipo katika mchezo wa kwanza, wa nne na wa kumi na mbili

Bet hii ni sawa na bet 8 za JP:

JP#1X212XXXX1121

JP#1X222XXXX1121

JP#1X222XXXX11X1

JP#1X212XXXX11X1

JP#XX212XXXX1121

JP#XX222XXXX1121

JP#XX212XXXX11X1

JP#XX222XXXX11X1

Namna gani naweza kufuta Bet?
+

Kufuta bet, tuna neno "Futa" ikifuatiwa na '#' na ID ya Bet (ambayo ni namba ya tarakimu 4 uliyotumiwa katika ujumbe wa kuthibitisha) kwenda 15888

Kumbuka kuwa unaweza kufuta bet ndani ya dakika 10 za kuweka bet na kabla mchezo wowote uliowekea bet haujaanza).

Mfano. FUTA#2345 (ambapo 2345 ni ID ya Bet)

Kutoa Pesa kwa njia ya SMS

Namna gani naweza kutoa pesa?
+

Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani.

Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta:

  1. Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 - ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokea wakati wa kujisajili. Kumbuka: Mfumo wa kutoa ni ule ule kwa mitandao ya watoa huduma wote wa simu, yaani, Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa.
  2. Utapokea ujumbe wenye uthibitisho kutoka 15888 na Akaunti yako ya simu (Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa, etc) itaingiziwa pesa, utatumiwa ujumbe wa pili wenye uthibitisho kutoka kwa mtoa huduma wako.

Akaunti yangu kwa njia ya SMS

Namna gani naweza kuangalia salio langu?
+

SMS neno "SALIO" kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako.

Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/=

Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachotaka kutoa.

Kujisajili kwa njia ya Tovuti

Kwanini nijisajili na SportPesa?
+

Kujisajili kunakuruhusu kufungua akaunti na Sportpesa bila ya malipo wala wajibu. Akaunti yako ya SportPesa itasaidia kusimamia bet zako na maelezo mengine ya akaunti. Unahitaji kuweka fedha halisi katika akaunti yako kabla ya kuweka bet.

Jisajili sasa!

Namna gani naweza kujisajili na SportPesa?
+

Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi:

Hatua ya 1

Tafadhali tembelea www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye "Jisajili Sasa!" Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti

Tafadhali soma Vigezo na Masharti na ujaze maeneo yote kisha bofya kitufe cha "Pata namba ya usajili" au vinginevyo "Je, una namba tayari?" Kama umeshapokea NAMBA YA USAJILI

Hatua ya 2

Jaza namba yako ya Simu na Namba ya Usajili ILIYOTUMWA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU, na bofya kitufe cha "Maliza Kikamilifu"

Hatua ya 3

Ujumbe wa uthibitisho utatokea, utakao thibitisha usajili wako kikamilifu.

Furahia Mchezo!

Bet kwa njia ya Tovuti

Namna gani naweza kuweka bet?
+

Sasa unaweza kutabiri matokeo ya mechi yoyote iliyopo kwenye Tovuti ya SportPesa.

Unaweza kuchagua chaguo lolote la kubet kutoka kwenye eneo kubwa la soko la awali la mechi na soko la kubet mubashara lililopo kwenye michezo mbalimbali na kuweka bet yako.

Kumbuka: Chaguzi zote za kubet zinaonyeshwa na kuelezewa kwenye ukurasa pamoja na masoko

Namna gani naweza kuweka Bet Moja?
+

Sasa umejisajili na akaunti yako imetengenezwa, tafadhali hakikisha umeingia kabla ya kuweka bet yako.

Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kuitumia, unachohitaji kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaokuvutia yaani Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.

Kuweka bet moja, bofya kwenye timu unayotabiri kushinda. Bofya ama kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyowekwa ya pili).

Kama ungependa kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchagua X (SULUHU).

Kama ungependa kutabiri masoko ya ziada, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi ambalo huoneshwa kama (+12, +2, +8 nk) mbali na mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kubet zilizopo.

Mara baada ya kuchagua utabiri wako, Mkeka utajitokeza kukuonesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha kubet chini ya mkeka, ambayo inaweza kurekebishwa kulingana na kiasi unachopenda kufanyia bet.

Kumbuka kwamba unaweza kuhariri bet yako iliyopo kwenye kikapu ili kujithibitishia kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

Kama unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza "ONDOA ZOTE"

Bonyeza kwenye "WEKA BET" ili kuweka bet.

Ujumbe wa kukuomba ku "THIBITISHA BET YAKO" utaonekana. Unaweza ku "FUTA" na kurudi nyuma kwenye mkeka wako, au kubofya "SAWA".

Baada ya kubofya "SAWA" ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:

  • Mchezo uliochagua
  • Utabiri wako
  • Aina ya bet ulizoweka - Multibet
  • Kiasi cha bet ulichoweka
  • Bet namba yako
  • Kiasi unachoweza kushinda
  • Salio lako la akaunti ya Sportpesa

Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kwenye Historia ya Kubet kwa kubofya kwenye "Tazama Historia". Pia utapokea ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako ya kiganjani kutoka 15888 kuthibitisha bet ile ile.

Namna gani naweza kuweka Bet Nyingi?
+

Sasa umejisajili na akaunti yako imeshatengenezwa, tafadhali hakikisha umeingia kabla ya kuweka bet zako.

Tovuti ya SportPesa ni rahisi kutumia, unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaopendelea yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi unazotaka kuwekea bet nyingi.

Ili kuweka bet nyingi, bofya kwenye timu ambayo unatabiri itashinda ama timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au Timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili)

Kama utataka kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchaguwa X (SULUHU)

Kama unatka kutabiri kwenye masoko zaidi, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi lilioonyeshwa kama (+12, +2, +8 n.k) zaidi ya michezo unayotaka kuwekea bet ili upate chaguzi zaidi za kubet.

Mara baada ya kuchagua tabiri zako, Mkeka utaoneka ukionesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha fedha chini ya mkeka, ambacho kinaweza kubadilishwa kulingana na kiasi ambacho ungependa kubet.

Kumbuka kuwa unaweza kuhariri bet zako zilizopo kwenye mkeka kuhakikisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

Kama utataka kutoa bet yote na kuanza upya, bofya kwenye ONDOA ZOTE

Bofya kwenye 'WEKA BET' ili kuweka bet yako.

Ujumbe utatokea utakaokuomba ku "THIBITISHA BET YAKO". Sasa unaweza kubofya kwenye "FUTA" na kurudi kwenye mkeka wako, au kubofya "SAWA".

Baada ya kubofya "SAWA" ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:

  • Michezo uliyochagua
  • Utabiri wako
  • Aina ya bet ulizoweka - Bet Nyingi
  • Kiasi unachotaka kubet
  • ID ya Bet yako
  • Uwezekano wako wa kushinda
  • Salio la akaunti yako ya SportPesa

Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kweye Historia ya Bet yako kwa kubofya kwenye "Tazama Historia"

Pia utapata ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako kutoka 15888 kuthibitisha hilo.

Namna gani ya kuweka Bet ya Jackpot?
+

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa na bofya kwenye bango lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

Ili kuweka bet ya Jackpot, bofya kwenye timu unayotabiri ishinde. Bofya kwenye ama timu ya Nyumbani (timu iliyotajwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).

Kama unataka kutabiri kuwa matokeo ya mchezo yatakuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili na chagua X (SULUHU).

Chagua utabiri wako kwa michezo yote 13 ya Jackpot.

Mkeka utatokea ukiwa na utabiri wako wote.

Kwenye mkeka, utaweza pia kuona namba za mchanganyiko uliofanyika. Kama haujaweka bet ya mchanganyiko, idadi ya mchanganyiko itakuwa 1.

Hatua ya 3

Bofya kwenye weka bet

Hatua ya 4

Bofya SAWA kuthibitisha au Futa kukataa.

Ujumbe utatokea kwenye skrini yako kuthibitisha uwekwaji wa bet yako ya Jackpot.

Kumb 1: Utashinda endapo utabiri wako wote 13 utalingana na matokeo ya michezo. Jackpot hugawiwa sawa sawa kwa washindi wote.

Namna gani naweza kuweka Bet ya Jackpot yenye mchanganyiko mara mbili?
+

Hatua ya 1

Ingia katika akaunti yako ya SportPesa na ubofye kwenye bango la Jackpot lililopo juu kwenye skrini yako.

Hatua ya 2

Bet ya mchanganyiko mara mbili kwenye Jackpot (JP) hufanya urahisi wa kuweka bet nyingi mara moja baadala ya kurudia mlolongo ule ule mara nyingi kama unataka kuweka zaidi ya bet moja ya MJP zaidi kwa njia ya tovuti.

Hii inakuruhusu kuweka bet kwa utabiri mbili kwenye mchezo mmoja, kwa mpaka michezo 7 kutoka kwenye michezo ya 13 ya JP iliyowekwa kwa bet moja! Bofya kwenye utabiri mbili ambazo ungependa kuweka. Mfn. (1 na 2, au 1 na X, au 2 na X)

Kwa mfano, kama unataka kuweka tabiri mbili kwenye michezo 3 ya JP, utakuwa umeweka bet 8 za JP kwa ujumla, yaani 2^3 (2*2*2*+bet 8 za JP)

Mkeka utatokea ukiwa na utabiri wako wote kwa michezo 13 ya JP

Kwenye mkeka, utaweza pia kuona idadi ya mchanganyiko uliofanya. Unaweza kucheza mchanganyiko mara mbili wa mpaka michezo 7 ya JP tu.

Pia utaona jumla ya kiasi utakachotakiwa kuweka dau kwa idadi ya mchanganyiko uliofanya. Kila bet ya JP itagharimu TZS 2000.

Kutoa kwa njia ya Tovuti

Namna gani naweza kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?
+

Kupata fedha zako ni rahisi kama kuweka fedha zako. Tunatarajia utakuwa umefanikiwa katika ubashiri wako na unataka kuhamisha fedha kwenda kwenye akaunti yako ya simu.

Bofya kwenye kiungo cha kutoa kwenye kidirisha cha juu kulia kwenye tovuti.

Akaunti yangu kwa njia ya Tovuti

Namna gani naweza kuangalia Salio Langu?
+

Hii inaoneyeshwa kwenye kidirisha cha juu kulia kwenye tovuti.

Namna gani naweza kuingia kwenye akaunti yangu ya SportPesa?
+

Mara baada ya kujisajili unaweza kupata akaunti yako ya SportPesa kwa kuingiza namba yako ya simu kama JINA LA MTUMIAJI na NENO LA SIRI LA TOVUTI kama NENO LA SIRI.

Namna gani naweza kuangalia miamala yangu kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?
+

Ukiingia kutumia jina na neno la siri la akaunti yako, na kubofya kwenye "Miamala" utaona miamala yako yote. Unaweza kuchagua kuchuja kutoka siku hadi siku.

Namna gani naweza kuangalia bet zangu kutoka kwenye akaunti yangu ya SportPesa?
+

Ukiingia kutumia akaunti yako na kubofya kwenye "Historia ya Bet" utaona "Bet amilifu /zisizo amilifu"

Mkeka

Namba za Malipo

  • 150888
  • 150888
  • 150888
  • 150888

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.