Kwa waliozidi miaka 18 tu

Ni kinyume cha sheria kwa mtu yeyote aliyechini ya umri wa miaka 18 kucheza michezo ya kubashiri kwenye tovuti hii.

Ili kuepuka uchezaji wa michezo ya kubashiri kinyume na sheria, Sportpesa inahifadhi haki ya kufanya ukaguzi ili kuhakiki taarifa zilizotolewa. Tunaweza kufanya ukaguzi kupitia mhusika wa tatu kwa madhumuni ya kuhakiki kuwa una umri wa miaka 18 au zaidi. Endapo ukaguzi huu utashindwa kuhakikisha mteja yoyote kuwa na miaka 18 au zaidi, SportPesa inahifadhi haki ya kuulizia ushahidi wa umri. Akaunti ya mteja inaweza kusimamishwa na fedha kuzuiliwa mpaka uhakiki wa kuridhisha kuhusiana na umri utakapotolewa.

Kuzuia uwezekano wa matumizi mabaya endapo watu wenye umri mdogo wanaweza kutumia kompyuta yenye intaneti, tafadhali weka kwa siri namba yako ya akaunti, jina la mtumiaji na neno la siri.

Mkeka

Namba za Malipo

  • 150888
  • 150888
  • 150888
  • 150888

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.