Tembelea Tovuti english eng

Jisajili

Bofya HAPA kujisajili kisha utengeneze akaunti yako ya SportPesa ndani ya dakika chache tu

Jisajili hapa

Weka Pesa

Weka pesa kunanzia TSH 500 kwenye akaunti yako ya SportPesa kupitia menu ya mtandao wako wa simu

Kwa M-Pesa na Tigo Pesa Piga *150*87# kisha chagua 4

Kwa Airtel Money, Halopesa & EzyPesa Namba ya Malipo 15888

Cheza

Weka bet katika masoko hadi 25 ya mechi ambazo hazijaanza na zile zinazoendelea ili ushinde Mkwanja.

Cheza sasa

Karibu SportPesa, mtandao namba moja wa kubashiri Afrika na Tanzania!

SportPesa ni mtandao wa kijanja wa michezo ya kubashiri na Kasino unaokuwezesha kushinda mkwanja mrefu kwa kubashiri mechi za kitaifa na kimataifa kila siku kupitia michezo mbali mbali.

Furahia urahisi wa kujisajili na kucheza kwa njia ya Ujumbe mfupi (SMS), Menu ya *150*87#, App kwa watumiaji wa Android na iOS bila kusahau tovuti ukiwa na simu yoyote ya mkononi.

Mechi kali zipo kila siku tena kwenye michezo kibao kama vile Soka (Mpira wa miguu), Masumbwi, Mpira wa kikapu, Tennis, Volleyball, Cricket, Raga na mingine mingi kwa dau linaloanzia TSH 500 tu. Tunajua raha ya ushindi ni Mkwanja na ndio maana mechi inapoisha tunakulipa papo hapo bila kuchelewa.

Kwenye teknolojia hatupo nyuma kwani unaweza kubet nasi LIVE wakati mechi zikiendelea na kujishindia mshiko kwenye masoko mengi zaidi.

Lakini pia kwasababu tunajua wewe ni mfuatiliaji wa michezo, tunakuwezesha kubashiri masoko hadi sita kwenye mechi moja kupitia Jenga Bet huku ukitabiri idadi ya kona, faulo, kadi za njano na mengine mengi!

Kila wiki SportPesa inakupa fursa ya kushinda donge nono la Jackpot ya mechi 13 ambayo ndiyo Jackpot kubwa kuliko zote Tanzania unayoweza kujishindia zaidi ya TSH 300,000,000/= kwa TSH 2000 tu.

Kama wewe ni mtaalamu wa kubeti, usikubali kupitwa, jiunge na SportPesa leo ushinde kijanja na kisasa zaidi!