Aviator: Mchezo Mpya wa Kasino Mtandaoni Tanzania Kupitia SportPesa 

 

Jiandae Kupaa na Kushinda Mamilioni kwa Kucheza Aviator! 

SportPesa Tanzania inajivunia kuwaletea wateja wake mchezo mpya wa kasino mtandaoni—Aviator! Huu ni mchezo wa kipekee wa kubashiri mtandaoni, ambao unazidi kushika kasi katika kasino ya mtandaoni Tanzania.


Tofauti na sloti au michezo ya mezani, Aviator ni rahisi kuelewa, kucheza, na unatoa nafasi halisi za kushinda hadi TZS 40,000,000! Huu ni mchezo wa kasi unaohitaji maamuzi ya haraka, umakini, na mikakati ya papo kwa papo.

 

Aviator ni Nini?

Aviator ni mchezo wa kasino mtandaoni unaojulikana kwa ubunifu wake. Upekee wa Aviator unatokana na jinsi ulivyo tofauti kabisa na michezo mengine ya jadi ya kasino. Lengo ni rahisi: weka dau lako kisha angalia ndege ikipaa. Kadri ndege inavyopaa, ndio dau lako linaongezeka kwa kizidishi kikubwa ili kukupa nafasi ya kushinda viwango vikubwa vya pesa. 

 

Lakini chunga – ukichelewa kutoa ushindi wako, ndege inaweza kutoweka na kupoteza kila kitu!
Ushindi unategemea wakati sahihi wa kutoa pesa yako kabla ndege haijatoweka. Ushindi wako utategemea kwa muda gani ndege imekuwa hewani na wakati gani sahihi ulitoa pesa yako.

 

Kwa Nini Ucheze Aviator ya SportPesa?

 

Mchezo Rahisi na wa Haraka

Hauhitaji uzoefu wa awali kucheza Aviator. Weka dau, angalia ndege kikipanda. Kizidishi kikiongezeka ndivyo pesa zako huongezeka. Toa pesa zako kabla ya ndege kupaa na kutoweka.

 

Shinda Hadi TZS 40,000,000

Kwa kizidishi kinachofika hadi x1,000,000, una nafasi ya kushinda fedha nyingi papo kwa papo. Aviator inakupa nafasi ya kushinda TZS 40,000,000 katika kila dau. Hii ina maana kuwa waweza shinda hiki kiwango zaidi ya moja kila siku.

 

Cheza Ukiwa na Wengine – Live Chat

Aviator inakuwezesha Kuburudika na Jamii yako na Kushirikiana na Wachezaji Wengine kupitia kipengele cha mazungumzo ya moja kwa moja (live chat),  ambapo unaweza kuzungumza na wachezaji wengine, kutoa uzoefu wako, na pia kusherehekea ushindi kwa pamoja.

 

Promosheni Kabambe kwa Wachezaji wa Tanzania

•    Aviator Challenge – Shinda raundi za bure katika Race ama xTournament kwa kukamilisha challenge tofauti kwenye mchezo wa Aviator. 

•    Aviator Rain – Tunatoa raundi za BURE katika chat ya Aviator kwa nyakati tofauti. Kaa chonjo uwe wa kwanza kuwahi mgao wako wa raundi za bure!

 

Jinsi ya Kucheza Aviator kwenye SportPesa Tanzania

1.    Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa.co.tz

2.    Tafuta gemu ya Aviator kwenye orodha ya michezo

3.    Weka dau lako kuanzia TZS 20

4.    Tazama ndege ikipaa na kizidishi kikiongezeka

5.    Toa ushindi wako kabla ndege haijatoweka 

 

Jiunge na Aviator ya SportPesa Tanzania leo ufurahie burudani ya kipekee, nafasi kubwa ya kushinda, na promosheni za kila wiki. Cheza sasa, shinda sasa!

Mkeka

Namba za Malipo

  • 150888
  • 150888
  • 150888
  • 150888

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.