Dr. Omari Sharif Chande, wikiendi iliyopita amejishindia jumla ya Sh 10,491,465, kama Jackpot bonus, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya 13, alizocheza.

Omari ambae ni daktari kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Idara ya Afya Mkoani Arusha alianza kucheza na SportPesa mwaka 2022, baada ya kuona kuna urahisi katika kucheza ukilinganisha na kampuni nyingine aliyokuwa anacheza nayo kwa muda mrefu.

“Mimi nilianza kucheza na SportPesa mwaka jana, kwa kipindi cha nyuma nilikuwa nacheza na kampuni nyingine, lakini nikaamua kujiunga na SportPesa baada ya kuona kuna urahisi katika kucheza ukilinganisha na kampuni zingine za kubeti.”

 Dr.Omari aliendelea kusema, huwa haipiti siku moja bila ya yeye kubeti, na mara nyingi huwa anaweka mikeka 2 ya timu moja moja, kwenye upande wa jackpot huwa anabeti mara mbili kwa siku, na kwenye ushindi huu nilibeti mikeka 3 ya mid-week jackpot.

Akizungumzia mkeka wa ushindi, Dr. Omari anasema siku hiyo alikuwa ametoka kwenye shughuli zake za kila siku, akarudi nyumbani kupumzika. Alipofika ghafla ujumbe wa simu uliingia, kuangalia saa ilikuwa ni mida ya saa saba za usiku, alianza kujiuliza kama ule ujumbe aliopokea ulikuwa ni kweli au umekosewa.

“Kiukweli ile sms ya ushindi ilivyoingia sikuamini kama ni kweli, hivyo basi nilienda moja kwa moja kwenye akaunti yangu ya SportPesa na kujaribu kutoa hela ikashindikana, palipokucha nilienda ofisi za Airtel kwa kuwa ndio mtandao ambao nilikuwa natumia kucheza, nilipofika pale mhudumu alinieleza kuwa line yangu ya simu haikuwa na shida yoyote, hivyo niwasiliane na ofisi ya SportPesa.

https://blog.sportpesa.co.tz/2023/11/23/dr-omari-mid-week-sportpesa/

 

 

Mkeka

Namba za Malipo

  • 150888
  • 150888
  • 150888
  • 150888

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.