UEFA Champions League Final 2025/2026 - Kampeni ya Aviator Free Bet
Muhtasari wa Promosheni
SportPesa Tanzania inawapa wateja wanaokidhi vigezo zawadi ya Aviator Free Bet kulingana na kiwango cha dau walichoweka kwenye mechi ya Fainali ya UEFA Champions League kati ya Paris Saint-Germain (PSG) na Arsenal.
Vigezo vya Kushiriki Promosheni
- Promosheni hii iko wazi kwa wateja wote wa SportPesa Tanzania waliojisajili na kuthibitishwa.
- Washiriki lazima wawe na umri wa miaka 18 au zaidi.
- Wafanyakazi wa SportPesa, kampuni zake washirika pamoja na wanafamilia wao wa karibu hawastahiki kushiriki.
Dau Zinazostahiki Kushiriki
- Dau lazima liwe limewekwa kwenye mechi ya PSG dhidi ya Arsenal ya Fainali ya UEFA Champions League (30 Mei 2026) kwa kiwango cha chini cha TZS 100.
- Dau lazima liwe Single Bet na/au Multi Bet (Accumulator).
- Dau za Live (In-Play), dau zilizofutwa (Cancelled Bets) au dau zilizotolewa fedha kabla ya matokeo (Cashed-Out Bets) hazitastahiki.
- Kila mteja atapata zawadi moja tu, bila kujali idadi ya dau zinazostahiki alizoweka.
Masharti ya Uwekaji wa Free Bet
- Free Bet zitawekwa kwenye akaunti za wateja wanaostahiki siku inayofuata baada ya mechi kuchezwa (baada ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki - EAT).
- Free Bet itakuwa halali kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe itakayowekwa kwenye akaunti.
- Free Bet inaweza kutumika kwenye mchezo wa Aviator pekee.
- Free Bet haiwezi kutolewa kama fedha taslimu wala kubadilishwa kuwa fedha.
- Ushindi utakaopatikana kutokana na matumizi ya Free Bet unaweza kutolewa kulingana na masharti ya kawaida ya utoaji fedha ya SportPesa.
Vigezo Na Masharti
- SportPesa ina haki ya kusitisha, kurekebisha au kufuta promosheni hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
- Matumizi yoyote yanayoshukiwa kuwa ya udanganyifu, matumizi mabaya au hujuma yatapelekea mteja kuondolewa kwenye promosheni na akaunti yake inaweza kusimamishwa.
- Promosheni hii haiwezi kuunganishwa na ofa nyingine yoyote isipokuwa pale ambapo imeelezwa wazi tofauti.
- Uamuzi wa SportPesa kuhusu masuala yote yanayohusiana na promosheni hii ni wa mwisho.
- Masharti na Vigezo kamili vya SportPesa vinatumika na vinapatikana kwenye sportpesa.co.tz/terms-and-conditions.
Cheza Kwa Wajibu
Tafadhali beti kwa uwajibikaji. Kubashiri kunapaswa kuwa burudani. Ikiwa unahisi kubashiri kwako kunaanza kuwa tatizo, tafadhali tembelea sportpesa.co.tz/responsible-gaming au wasiliana na timu yetu ya Huduma kwa Wateja inayopatikana saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki. Lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi kushiriki.
http://sportpesa.co.tz/adults_only
http://www.gamingboard.go.tz/