Michezo ya kubashiri na SportPesa
SportPesa inatoa chaguo bora zaidi la kubashiri mtandaoni nchini Tanzania na ulimwenguni kote, ikiwa na utandawazi wa masoko yote makubwa ya michezo..
Mchezo wa kubashiri mtandaoni unazidi kuwa maarufu miongoni mwa wapenzi wa michezo wa Tanzania na SportPesa inajulikana ni chaguo la wengi na ina urahisi katika matumizi. Unaweza kuchagua kati ya michezo inayofuatwa zaidi kama mpira wa miguu, mpira wa kikapu, raga, kriketi, masumbwi, na vile vile michezo mingine maarufu kama vile tenisi na mbio za farasi.
Wateja wanaweza kufurahia michezo ya kubashiri wakati wowote mahali popote kwa urahisi na kubashiri michezo mubashara kutumia simu zao za kiganjani au kompyuta za mezani.
Unaweza pia kubashiri michezo yako uipendayo mtandaoni kwenye simu au tableti yako ya kiganjani ukitumia programu za SportPesa za Android au iOS.
Mfumo wa kubashiri SportsPesa ni rafiki sana na rahisi kupata point (odds) za michezo, kutokana na hili michezo ya kubashiri mtandaoni inakuwa rahisi na inamvuto.
Upo tayari kuanza? Jisajili kwa akaunti ya bure hapa na uanze kubashiri kwenye mamia ya masoko kila siku!
Ni rahisi sana! Jisajili hapa : https://sportpesa.co.tz/join