GOAL RUSH FAQS
1. Goal Rush ni nini?
Goal Rush ni mchezo unaoweza kuucheza bure hapa Sportpesa. Ili kushiriki, unahitaji kubashiri timu ambayo itafunga goli la kwanza na dakika ambayo hilo goli litafungwa. Kuna mechi tatu za kufanyia ubashiri. Baada ya kubashiri mechi zote tatu, unachotakiwa kufanya ni kusambaza tiketi yako kwa marafiki kupitia mitandao ya kijamii ili kujishindia hadi shilingi laki mbili kila siku.
Ili kushinda ni lazima ubashiri mechi zote tatu kwa usahihi na usambaze kwenye mitandao ya kijamii kwamba umecheza.
2. Je, ni kiasi gani kucheza Goal Rush?
Hakuna gharama ni BURE kucheza Goal Rush.
3. Ni zawadi zipi utazawadiwa kwa kushinda Goal Rush?
Zawadi kubwa zaidi ukishinda Goal Rush ni TZS 100 million kwa kutabiri kwa usahihi timu itakayo funga goli la kwanza na dakika litakalofungwa kwa usahihi kwa mech izote tatu.
Pia kuna bonasi za kila siku kama ifuatavyo:
- TZS 200,000 kwa bashiri itakayo karibia kupata sahihi timu iliyofunga kwanza na dakika sahihi goli la kwanza lilipofungwa.
- TZS10,000 kwa bashiri 50 zitakazo fuata kukaribia kupata kwa usahihi.
4. Je, ni mechi ngapi natakiwa kutabiri kwenye Goal Rush?
Unatakiwa kubashiri mechi zote 3 zilizochaguliwa ili tiketi yako ya Goal Rush iweze kukubalika.
5. Je, ni mara ngapi naweza kucheza Goal Rush?
Unaruhusiwa kucheza mara moja tu kwa siku. Unatakiwa kuwa mteja active wa SportPesa.
6. Je, Mteja Active ni yupi?
Kutokana na dhumuni la promosheni hii, mteja active ni yule ambaye ameshacheza beti ya Sports na Kasino kwenye SportPesa ndani ya siku saba.
7. Je, nawezaje kushinda Goal Rush?
Utashinda Goal Rush kwa kutabiri timu ya kwanza kufunga goli na dakika ambayo goli hilo litafungwa kwa usahihi katika mechi 3 za Goal Rush.
Unatakiwa kusambaza ubashiri wako katika ukurasa /mtandao wako wa kijamii. Ni lazima ukurasa wako wa kijamii uwe wazi ili uweze kuonekana na watu wote.
8. Je, kuna bonasi ukicheza Goal Rush?
NDIO, tunazawadia bonasi kwa wateja 51 wenye bashiri zitakazo karibia kupata sahihi.
9. Je, ni lazima kusambaza kwenye mitandao ya kijamii nikicheza?
NDIO, ni lazima usambaze ubashiri wako katika mtandao wako wa kijamii utakaopenda.
10. Je, ni mitandao ipi ya kijamii naweza kusambaza tiketi yangu ya Goal Rush?
Ifuatayo ni mitandao ya kijamii unaweza kuitumia kusambaza tiketi yako ya Goal Rush: Facebook, X (Twitter), TikTok au Instagram.
11. Nini kitafanyika kama mechi haitachezwa/hataikamilika?
6.7.19: Iwapo mechi moja itaahirishwa, kuingiliwa, kuachwa au kusimamishwa kabla ya goli la kwanza kufungwa na mechi zote mbili hazitachezwa hadi kuhitimishwa ndani ya saa ishirini na nne (24) baada ya hapo, mzunguko mzima wa promosheni hiyo maalum ya Goal Rush itakuwa imebatilishwa. Kwa ufafanuzi zaidi, hakuna zawadi itakayotolewa katika raundi hii.
6.7.20: Iwapo zaidi ya mechi moja itaahirishwa, kuingiliwa, kuachwa, au kusimamishwa kabla ya bao ya kwanza kufungwa na mechi zote mbili hazitachezwa hadi kuhitimishwa ndani ya saa Ishirini na Nne (saa 24) baada ya hapo, mzunguko mzima wa promosheni hiyo maalum ya Goal Rush itakuwa. imeghairiwa. Kwa kuepusha shaka hakuna Tuzu zitakazotolewa katika hali hii.
12. Pointi za Goal rush zinahesabiwa vipi?
Ikiwa mechi mmoja ya Goal Rush itatoka sare ya 0-0 (hakuna goli katika mechi nzima), kila mteja aliyecheza Goal Rush atapewa pointi 90 kwa mchezo huo.
Iwapo timu uliyochagua kufunga goli la kwanza, siyo itakayotangulia na badala yake timu pinzani ndiyo itakayofunga ya kwanza, utapata pointi 1000.
Iwapo timu uliyoichagua kupata bao la kwanza, itafunga kwanza, pointi zitahesabiwa kwa kutoa dakika sahihi bao la kwanza lilifungwa kutoka kwa ubashiri wako. Kwa mfano, ikiwa ulitabiri timu ya nyumbani itapata bao la kwanza dakika ya 37, lakini timu ya nyumbani ikapata bao la kwanza katika dakika ya 10, utapata pointi 27 kwenye mechi ile, yaani 37-10.
13. VIGEZO NA MASHARTI:
Ili kushiriki katika promosheni hii, mteja lazima awe:
- amefanikiwa kusajili akaunti na Kampuni.
- ameingia na kuweka ubashiri wake kwa kutumia akaunti yake katika siku 7 zilizopita.
- ameshiriki ubashiri wake kwenye jukwaa la mitandao ya kijamii kama inavyoamuliwa na Kampuni kwa hiari yake.
Unashiriki promosheni hii kwa kuchagua, katika kila mechi kutoka kwa ratiba iliyopendekezwa, timu ambayo itafunga bao la kwanza na dakika mahususi ambayo bao hilo litafungwa.
Kiingilio kwa kila raundi kinapatikana baada ya kushiriki ubashiri wako kwenye jukwaa la mitandao ya kijamii linaloruhusiwa na kabla ya mechi ya kwanza kuanza.
Huwezi kurekebisha ingizo lako mara tu litakapowasilishwa.