PROMOSHENI YA RAFIKI BONASI

NAMNA YA KUCHEZA

1.1 PATA mpaka SH. 2,000/- Rafiki Bonasi kwa hatua 2 rahisi:

1.1.1 Weka bashiri zenye jumla ya dau la Sh. 5000/- au bashiri moja yenye dau la sh. 5000/- au Zaidi upate “Mwaliko” ambapo unaweza kuwaalika rafiki zako kujiunga kwa njia ya SMS kwa kutuma neno KUBALI # ** *** *** (Namba yako ya simu) kwenda 15888 au “kujiunga kwa njia ya mtandao” au kwa njia ya USSD. Kila mara jumla ya dau la bashiri zako au dau la bashiri moja linapofikia shilingi 5000/- unapata fursa ya kumkaribisha Rafiki yako.

*Ili ufanikiwe kupata bonasi, ni lazima Rafiki zako wakati wa kujisajili wakutaje wewe kama mtu uliewaalika.

1.1.2 Hakikisha rafiki zako wameweka ubashiri wa kwanza kuanzia shilingi mia tano (Shs. 500/-) katika mechi yoyote ya soka yenye soko la njia 3 (1,X,2) kwa odds kubwa kuliko au sawasawa na 1.3, mchezo wowote wenye bashiri nyingi pacha katika soko lolote kwa mchezo wowote, au kwenye bet yoyote ya jackpot isipokuwa bashiri ya jackpot yenye bonasi. Utapata bonasi inayolingana na kiwango cha dau atakachoweka rafiki yako mpaka ifike Sh.2000/-.

VIGEZO NA MASHARTI KWA AJILI YA RAFIKI BONASI

Vigezo hivi visomwe pamoja na Vigezo na Masharti ya Jumla ya Kampuni.

Kipindi cha Promosheni

Promosheni ilianza siku ya Alhamisi, tarehe 28 Machi 2019 saa sita na dakika moja alfajiri na itaendelea mpaka hapo itakapositishwa kwa kutoa notisi ya siku saba ya tarehe na muda wa kuifunga (“Kipindi cha Promosheni”).

Ushiriki

Ni watu pekee waliojisajili na Sportpesa (Washiriki) na kufanya bashiri wanaoruhusiwa kushiriki katika Promosheni ya Rafiki Bonasi.

Washiriki ni lazima wawe na umri wa miaka 18 na zaidi.

Wafanyakazi wa SportPesa hawaruhusiwi kushiriki katika promosheni hii.

Mtu anaemleta mwenzie lazima awe amecheza bashiri zenye dau la jumla ya shilingi 5000/- au bashiri moja yenye dau la shilingi 5000/- na Sportpesa.

Mtu anaeletwa na kuwa Mshirika lazima aanze kutumia akaunti yake kwa kuweka ubashiri katika mechi yoyoyote ya soka katika soko la njia 3 (1,X,2) kwa odds kubwa kuliko au sawasawa na 1.3, mchezo wowote wenye bashiri nyingi pacha katika soko lolote kwenye mchezo wowote, au kwenye bashiri ya jackpot. Bashiri ya jackpot yenye bonasi ya jackpot haitokubalika.

Ndani ya dakika kumi na mbili (12) utapokea maramoja bonasi yako inayolingana na dau litakalochezwa na rafiki yako mpaka hapo itakapotimia shilingi elfu mbili (2,000) katika mechi yoyote ya soka katika soko la njia 3 (1,X,2) kwa odds kubwa kuliko au sawasawa na 1.3, mchezo wowote wenye bashiri nyingi pacha katika soko lolote kwenye mchezo wowote, au kwenye bashiri ya jackpot. Bashiri ya jackpot yenye bonasi ya jackpot haitokubalika.

Madai yote yanayohusiana na Rafiki Bonasi yatapaswa kuwasilishwa ndani ya siku saba (7) tu. Madai yoyote yatakayoletwa baada ya muda wa siku saba kumalizika yatakuwa batili.

Kiasi cha bonasi kinachopatikana kutokana na ofa ya Rafiki Bonasi kinaweza kutolewa au kutumika kwa kuwekea bashiri.

MENGINEYO

Ofay a Rafiki Bonasi inawalenga Washirika halali, yaani, Washirika ambao mara zote hufanya jambo lolote kwa nia njema, kwa uaminifu, kiadilifu, bila udanganyifu, kwa madhumuni ya kujiburudisha. Kuna njia za uhakiki ambazo hufanyika kabla ombi lako halijatimizwa, ambapo unaweza kupokea bonasi yako baada tu ya uhakiki wa kina kufanyika.

Watu wanaojihusisha na michezo ya kubashiri kama taaluma au watu wengine wanaotambulika na uongozi wa SportPesa kuwa wanatumia vibaya ofa hii, wanaweza kuondolewa haki zao za kushiriki katika promosheni, kwa maauzi pekee ya Menejimenti. Maamuzi ya Menejimenti ya SportPesa ni ya mwisho.

Kushiriki kwako katika promosheni ya Rafiki Bonasi kunamaanisha kukubaliana na Vigezo na Masharti ya Jumla ya SportPesa.

Mkeka

Namba za Malipo

  • 150888
  • 150888
  • 150888
  • 150888
  • 150888

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.