PROMOSHENI ZA KASINO 

Kasino ya SportPesa ina promosheni zinazoendelea kila wiki. Kila promosheni ina tarehe zake, zawadi zake na masharti yake ya kushiriki, kama ilivyoelezwa hapa chini. Soma Vigezo na Masharti kamili ya kila promosheni kabla ya kushiriki.

PROMOSHENI YA SMARTSOFT NOVEMBER SPIN & WIN 

Muhtasari wa Promosheni: Wateja wa SportPesa Tanzania wanaweza kushiriki katika promosheni ya mtandao ya Smartsoft Spin & Win. Wachezaji wa michezo ya Smartsoft inayoshiriki wanaweza kupata nafasi ya kuzungusha gurudumu la zawadi bila mpangilio maalum na kushinda zawadi za fedha taslimu hadi TZS 1,500,000.

BOFYA HAPA KUCHEZA

Key details

  • Muda wa Promosheni: 2/11/2026 to 30/11/2026
  • Jumla ya Zawadi: TZS 3,000,000,000
  • Vigezo vya Kushiriki: Ili kushiriki katika promosheni hii, mteja lazima: 4.2.    Aweke dau la fedha halisi la kiwango cha chini cha TZS 300 kwenye mchezo wowote unaoshiriki ulioorodheshwa. Awe na umri wa miaka 18 au zaidi na awe mteja aliyesajiliwa wa SportPesa. Wafanyakazi wa SportPesa, kampuni zake washirika, pamoja na wanafamilia wao wa karibu hawastahiki kushiriki.

JINSI YA KUSHINDA:

    1. Wakati wa kucheza mchezo unaoshiriki kwa dau linalostahiki, mchezaji anaweza kupata nafasi ya kuzungusha gurudumu la zawadi bila mpangilio maalum.
    2. Bonyeza kitufe cha SPIN kwenye gurudumu ili kuona zawadi yako.
    3. Nafasi za kuzungusha gurudumu hutolewa bila mpangilio maalum. Kuweka dau linalostahiki hakumhakikishii mchezaji nafasi ya kuzungusha wala zawadi.
    4. Ushindi utawekwa moja kwa moja kwenye salio la kasino la mchezaji.

ZAWADI: Zawadi za fedha taslimu zinazopatikana kwenye gurudumu ni TZS 1,500,000, TZS 300,000, TZS 150,000, TZS 30,000, TZS 15,000 na TZS 1,500.

MICHEZO INAYOSHIRIKI:
Promosheni hii inahusu michezo ifuatayo ya Smartsoft: JetX, CheesyRoad, ChickenHighway, Balloon, PlinkoX, PlinkoXClassic, FootballX, CricketX, SlicerX, HelicopterX, AviaStar, MineIsland, SmashX, CrashDuelX, MultiHot5, MultiHot5Wild, MultiHotWays, MultiHotWildWays, SafariSimba, FoxyHot20, MariachiCoins, BlazingHot40, BlazingHot, BookofFuturia, HabeshaFortune5, WildMultiStars, HotSamba, GeniesBonanza, WildsandGods, SugarFiesta, JungleSisters, DraculasFortune, BlazingHot10, BookofBonanza, MadSlot, FarmsFortune, DragonsCode, JungleSistersDeluxe, PowerofTiger, CoinsofAtlantis, WorldChampionX, GatesOfMerlyn, BalloonX, Baoslot5X, MultiFruitsChargingWilds, GemsCrownChargingWilds, FortuneCatch, MultiHot100, MultiHot40, PropelX, MultiHot10, MultiHot20, BottleMania, ChickenWays, CheesyRoadClassic, Dice Jungle.

PROMOSHENI YA AVIATOR WEEKEND TOURNAMENT

Muhtasari wa Promosheni: SportPesa Tanzania inaendesha Mashindano ya Aviator ya Wikiendi. Wachezaji watakaoweka dau zinazostahiki kwenye mchezo wa Aviator katika kipindi cha mashindano watashindana kwenye jedwali la viongozi (leaderboard) kuwania sehemu ya zawadi zenye jumla ya TZS 10,000,000.

Muda wa Mashindano: Mashindano yataanza tarehe 13 Novemba 2026 saa 12:00 na kumalizika tarehe 16 Novemba 2026 saa 08:00 (kwa saa za Afrika Mashariki, EAT).

Jumla ya Zawadi: TZS 10,000,000 kwa kila mashindano, zitakazogawanywa kwa nafasi 3,500 zitakazozawadiwa.

BOFYA HAPA KUCHEZA

  1. Vigezo vya Kushiriki: Ili kushiriki katika mashindano haya, mteja lazima:
    1. Awe na umri wa miaka 18 au zaidi na awe mteja aliyesajiliwa wa SportPesa. Wafanyakazi wa SportPesa, kampuni zake washirika, pamoja na wanafamilia wao wa karibu hawastahiki kushiriki.
    2. Aweke dau la fedha halisi la kiwango cha chini cha TZS 100 kwenye mchezo wa Aviator katika kipindi cha mashindano.
  2. Zawadi
    1. Nafasi 3 za juu kwenye jedwali la viongozi zitapata zawadi za fedha taslimu kama ifuatavyo: Nafasi ya 1 TZS 1,500,000, Nafasi ya 2 TZS 800,000 na Nafasi ya 3 TZS 500,000.
    2. Nafasi nyingine zote zinazostahiki kwenye jedwali la viongozi, hadi nafasi ya 3,500, zitapata zawadi za Free Bet.
    3. Nafasi za mwisho kwenye jedwali la viongozi zitathibitishwa mwishoni mwa kipindi cha mashindano.
    4. Free Bet haiwezi kutolewa kama fedha taslimu wala kubadilishwa kuwa fedha. Ushindi wowote utakaopatikana kupitia matumizi ya Free Bet unaweza kutolewa kulingana na masharti ya kawaida ya utoaji fedha ya SportPesa.

Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. 18+ 

PROMOSHENI YA ENDORPHINA BONGO TOURNAMENT

Muhtasari wa Promosheni: Cheza sloti zako uzipendazo za Endorphina, kusanya pointi kwa kila mzunguko unaostahili na upande kwenye msimamo wa kila wiki ili kupata sehemu ya zawadi zenye jumla ya TZS 4,100,000. Wachezaji 100 bora kila wiki watashinda zawadi.

Jumla ya zawadi: TZS 4,100,000 (TZS 2,050,000 kwa wiki)

Dau la chini: TZS 200

Muda wa Promosheni - Wiki ya 1: 13 hadi 19 Novemba 2026 na Wiki ya 2: 20 hadi 26 Novemba 2026

BOFYA HAPA KUCHEZA

ZAWADI KWA KILA WIKI

  • Nafasi ya 1: TZS 300,000
  • Nafasi ya 2: TZS 180,000
  • Nafasi ya 3: TZS 120,000
  • Nafasi ya 4 hadi 20: TZS 30,000 kila mmoja (zawadi 17)
  • Nafasi ya 21 hadi 40: TZS 20,000 kila mmoja (zawadi 20)
  • Nafasi ya 41 hadi 70: TZS 12,000 kila mmoja (zawadi 30)
  • Nafasi ya 71 hadi 100: TZS 6,000 kila mmoja (zawadi 30)
  • Jumla kwa wiki: TZS 2,050,000

JINSI YA KUCHEZA

  1. Fungua sloti yoyote ya Endorphina inayoshiriki iliyoorodheshwa hapa chini.
  2. Weka dau la pesa halisi la angalau TZS 200 kwa kila mzunguko.
  3. Pata pointi 100 kwa kila mzunguko unaostahili.
  4. Maliza ukiwa miongoni mwa wachezaji 100 bora kwenye msimamo wa wiki ili ushinde zawadi.

VIGEZO NA MASHARTI

  1. Kila mzunguko wa pesa halisi wenye dau la TZS 200 au zaidi kwenye sloti inayoshiriki unakupa pointi 100.
  2. Wachezaji hupangwa kwa jumla ya pointi zao za mashindano. Kadri unavyokuwa na pointi nyingi, ndivyo unavyopanda juu kwenye msimamo.
  3. Iwapo wachezaji wawili au zaidi watamaliza wakiwa na idadi sawa ya pointi, mchezaji aliyefikia alama hiyo kwanza atapewa nafasi ya juu.

MICHEZO INAYOSHIRIKI

  1. Crown Coins
  2. Lucky Streak 3
  3. Chance Machine 90s
  4. Burning Coins 20
  5. Joker Stoker
  6. Hell Hot 100
  7. Dazzling Crown
  8. Fortune Chests
  9. 2021 Hit Slot
  10. Thunder Crown
  11. Prestige Crown
  12. 2026 Hit Slot
  13. Blue Slot
  14. Green Slot
Mkeka

Namba za Malipo

  • 150888
  • 150888
  • 150888
  • 150888

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.